iqna

IQNA

Tafsiri ya Qurani
Al Azhar
IQNA - Msomi na afisa wa zamani wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesisitiza ulazima
Habari ID: 3478228    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/21

Elimu
IQNA - Kituo cha Mafunzo ya Kiislamu chenye mafungamano na Chuo Kikuu cha Al-Azhar cha Misri kimechapisha mfululizo wa vitabu vipya vya mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478190    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/13

Tafsiri ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Kongamano la kimataifa kuhusu Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei mawazo ya Qur'ani yamefunguliwa huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran siku ya Jumatano.
Habari ID: 3478138    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/03

Tafsiri ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Ingawa kumekuwepo na juhudi nyingi za wanazuoni wa Kiislamu katika uwanja wa tafsiri ya Qur'ani Tukufu tangu kuja kwa Uislamu, kuna ukosefu wa kazi katika tafsiri ya kisaikolojia ya Kitabu Kitukufu.
Habari ID: 3478088    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/25

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /35
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Ilyas Wang Jingzhai (180-1949) ndiye mtu wa kwanza aliyetafsiri Qur'ani Tukufu nzima katika lugha ya Kichina.
Habari ID: 3477951    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26

Hojat-Al-Islam Morteza Torabi ni mfasiri wa Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kituruki na amejaribu kutumia wafafanuzi wa Kishia wa Quran Tukufu katika kazi yake.
Habari ID: 3477194    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/26

Tafsiri ya Qur’ani na Wafasiri /6
TEHRAN (IQNA) – Sayyid Mostafa Khomeini alikuwa gwiji ambaye alianza kuandika tafsiri ya Qur’ani Tukufu iitwayo “Miftah Ahsan Al-Khazaein al-Ilahiya” lakini aliaga dunia kabla ya kuikamilisha.
Habari ID: 3476086    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/14

Wanazuoni Mashuhuri wa Kiislamu Duniani/2
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Muhammad Sadiq Ibrahim Arjun (1903- 1981) alikuwa mwanazuoni wa Al-Azhar ambaye kazi zake zilizoandikwa na kurekodiwa kuhusu tafsiri ya Quran ni vyanzo vyema vya utafiti katika nyanja Tafsiri ya Qur’ani Tukufu na sayansi za Kiislamu.
Habari ID: 3475930    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/14

Tafsiri ya Qur'ani 7
TEHRAN (IQNA) – Kuna tafsiri ya Qur'ani Tukufu inayonasibishwa kwa Imam Hassan Askari (AS) ambayo imetufikia lakini baadhi ya wanachuoni wanatilia shaka unasibishaji huo.
Habari ID: 3475920    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/12

Muhtasairi kuhusu Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu/2
TEHRAN (IQNA) – Tafsiri kuu ya Qur’ani miongoni mwa kizazi cha tatu cha Waislamu ni ile ya Muqatil ibn Sulayman, mwanazuoni mkubwa na mfasiri wa Qur’ani aliyeishi katika eneo la Khorasan Kubwa.
Habari ID: 3475851    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/28

TEHRAN (IQNA)- Naila Sabri ni mwanamke Mpalestina ambaye ameandika Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ijulikanayo kama Tafsir al-Mubsir li-Nur al-Quran na hatua yake hiyo imepongezwa kuwa ni mafanikio makubwa kwa Wapalestina.
Habari ID: 3474849    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25

TEHRAN (IQNA)- Tafsiri ya kwanza ya Qur'ani Tukufu lwa lugha ya Amazigh imezinduliwa nchini Algeria.
Habari ID: 3471806    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/14

TEHRAN (IQNA)- Tafsiri mpya ya Qur'ani inayojulikana kama 'Tafsiri ya Shams' imezinduliwa katika ofisi za Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA) mjini Tehran.
Habari ID: 3471774    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/16